iqna

IQNA

IQNA – Mwanaume mmoja ameshtakiwa rasmi nchini Kosovo kwa kitendo cha kuvunjia heshima Qur’ani Tukufu miezi michache iliyopita.
Habari ID: 3480718    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21

IQNA – Tendo la kutusi na kudhalilisha nakala za Qur’ani Tukufu katika mataifa ya Magharibi kwa kisingizio cha kulinda uhuru wa kujieleza limekuwa likirudiwa mara kadhaa katika miaka ya hivi karibuni.
Habari ID: 3480510    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/08

IQNA – Mwanaume aliyachoma nakala ya Qur'ani Tukufu nje ya ubalozi mdogo wa Uturuki katikati ya London siku ya Alhamisi ameachiliwa huru kwa dhamana.
Habari ID: 3480226    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/16

IQNA – Mtu aliyerekodiwa akivunjia heshima nakala ya Qur'ani Tukufu nje ya Ubalozi wa Uturuki katikati ya London alishambuliwa na mpita njia.
Habari ID: 3480224    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/15

Watetezi wa Qur'ani
IQNA-Kitendo cha hivi punde zaidi cha kuvunjiwa heshima Qur'ani na askari wa utawala haramu wa Israel huko Gaza kimelaaniwa na watu wengi, ikiwa ni pamoja na kundi kubwa zaidi la kutetea Waislamu nchini Marekani ambalo lilitaka Waislamu wachukuliwe hatua dhidi ya hatua hizo za kusikitisha.
Habari ID: 3479780    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/20

Jinai za Israel
IQNA - Picha inayosambaa mtandaoni inamuonyesha mwanajeshi wa utawala katili wa Israel akivunjia heshima nakala ya Qur'ani Tukufu huko Gaza ikiwa ni kitendo cha hivi karibuni cha uadui wa jeshi hilo dhidi ya Waislamu duniani.
Habari ID: 3479774    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/19

Misri
IQNA - Ahmed Hijazi, mwanamuziki wa Misri, amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kuitusi Qur'ani Tukufu, vyombo vya habari vya nchi hiyo vimeripoti.
Habari ID: 3478272    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29

Chuki dhidi ya Uislamu
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Kuivunjia heshima Qur'ani ni kuvunjia heshima na kudunisha ubinadamu na thamani za Kiislamu, na jamii ya Kiislamu haitavumilia suala hilo.
Habari ID: 3477217    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/30

Chuki dhidi ya Uislamu
Ayatullah Sayyid Ali Sistani, Marjaa wa Waislamu wa Kishia nchini Iraq amelaani hatua ya Uswidi (Sweden) kuruhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo na ameutaka Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kuzuia kukaririwa vitendo vya kuvunjiwa heshima kitabu cha Waislamu cha Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477215    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/30

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Katika muendelezo wa mpango wa chuki dhidi ya Uislamu, mara hii walowezi wa Kizayuni wamechoma moto nakala kadhaa za Qur'ani Tukufu huko katika ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
Habari ID: 3475919    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/12

Ayatullah Nouri Hamedani
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu ni njama za vituo vya kifikra vya Utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika fremu ya kueneza chuki na hofu dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473142    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/06